NMB na CRDB bank hongereni sana

NMB na CRDB bank hongereni sana

Sontojo

Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
63
Reaction score
20
Jana serikali imetoa ruksa kwa benki mbili hapa nchini kutoa huduma za kibenki kwa akaunti zote za serikali na wafanyakazi wa serikali sasa ruksa kufungua akaunti na kuhudumiwa na benki yoyote kati ya NMB na CRDB BANK.

Hivyo halmashauri zote nchini zinatakiwa kuchagua benki ipi itahudumia katika halmashauri husika mapema wiki ijayo.

Mimi natoa pongezi kwa benki hizi mbili na hii ni nafasi yenu sasa kuonyesha mko vizuri kuhudumia serikali na wafanyakazi kwa ufanisi. Fungua kiambatanisho cha barua kwa maelezo zaidi
 

Attachments

  • 1427996462883.jpg
    1427996462883.jpg
    41.8 KB · Views: 1,362
  • 1427996477868.jpg
    1427996477868.jpg
    22.2 KB · Views: 719
Nmb wamelewa pesa, kwa sasa huduma upande wa mikopo full tatizo..wengi tumekimbilia bank nyingine
 
Nmb wamelewa pesa, kwa sasa huduma upande wa mikopo full tatizo..wengi tumekimbilia bank nyingine

Mkuu achana na hao wajinga, njoo tukope huku CRDB! Eti nikakuta wanatuwekea sharti la kufungua fixed account ya 10% ya mkopo, nikaachana nao, sasa hivi nadunda tu na mkopo Wa CRDB!!
 
Hivi hata kufungua account hakuna uhuru! Na wanaofungua uswissi je?
 
CRDB wapuuzi sna sometimes....jana atm zao zimezingua kinyama na sasa hivi nipo uwanja wa ndege wa jk atm zao pia zinazingua huu ni ulof.a wa hali ya juu watu tunashida ya hela zetu halafu bado tuna nyanyasika mpyuuuuuu!!!!
 
Back
Top Bottom