Daaaaaah! Kaka zile post za kusini ni 4 na sio 30 kama zilivyokuwa zinaonekana. Na application zilikuwa nying sana sasa hapo ndio balaa litaanza tukiangalia hzo nafasi tuumpe nani anayemjua nani?
daaaaaah! Kaka zile post za kusini ni 4 na sio 30 kama zilivyokuwa zinaonekana. Na application zilikuwa nying sana sasa hapo ndio balaa litaanza tukiangalia hzo nafasi tuumpe nani anayemjua nani?
Usichanganyikiwe ndugu omba Mungu unaeza ukawa mmoja wao kati ya hao eachache. Source kuna family friend ana jamaa ake ambae ndie branch manager wa makao makuu mtwara alimuambia kuwa wao waliomba kuajiri watu 30 ila HQ wakaoma waajiri 4 kwa sababu hawakuwa na bajeti ya kitosha ila wakaambia wasubiri watapewa fungu la kutosha. Bt kuna ndgu yangu yy ana roho mbaya anafurahi kuniona mm nyumbn yy yuko NMB HQ kama security officer akaniambia hazipo hzo kazi kaka. Ila naamin huyu wa 4 kwa sababu alimpogia jamaa nikiwa nae. Ila kuna za dodoma niliambiwa zitakuja soon tuendelee kuomba Mungu