Hivi Vodacom na Tigo wangekuwa na utaratibu mpaka ufike vodashop ndio tatizo lako LA hela litashughulikiwa ingekuwa hatari.
Niliwahi kutuma pesa fasta.
Niliyemtumia alipata sms ya kutumiwa.
Mimi niliyetuma sikupata sms ya kumpatia
niliyemtumia ili aweze kutoa hiyo hela.
kwenda bank nikapewa fomu nijaze.
miezi nne hela yangu haijarudi.
Jumamosi asubuhi nilihamisha hela kwa NMB Mobile toka account yangu ya benki kuja kwenye namba ya simu kwa njia ya MPesa jumla ya shilingi laki mbili. Toka hiyo Jumamosi hadi Leo Jumatatu hela yangu haijafika, nimepiga simu zaidi ya mara 60 kwenye customer service yao sijafanikiwa kuzungumza na mtoa huduma licha ya kwamba kuna wakati nimekaa hewani dakika 18 wananiimbia nyimbo Tu huku namaliza charge kwenye simu yangu.
Nilikuwa naihitaji hiyo hela Jumamosi nimekwamishwa, nimeulizia watu wengine wameniambia imeishawatokea kusubiri hadi wiki nzima ndio hela ikahama.
Wito wangu kwa BOT, haya makampuni ambayo kutoa huduma za hovyo ndio sera zao msiwape leseni ya kutoa huduma sensitive kama za mobile money, wanatutesa na kutunyanyasa wateja na hatuna mtetezi. Hapa nilipo hela haipo kwenye account na haipo kwenye simu kwa siku mbili, nini haki yangu. NMB Ni janga la kitaifa, ingawa tumejiunga kwa sababu za ukabwela wetu, tunaomba mtuthamini walau kidogo.
Ni kweli kabisa Mkuu, ila kumbuka hapa tunazungumzia makampuni mawili tofauti NMB na Vodacom, ndo mana mlolongo unakuwa mrefu kidogo. Kuna baadhi ya case huwa hazna mlolongo, mf. labda mteja anatoa hela katka ATM, alafu zkatoka pungufu, akleta malalamiko ndani ya mda mfupi tunampatia hela yake iliyopungua. Vodacom na Tigo wanakuwa faster kwa sababu miamala yao inakuwa inakuwa katika kampuni hiyo hiyo. Nadhani umenisoma mkuu.
nikisikia benki hii naanza kuumwa kabisa wafanyakazi wanajisikia mno huwa naomba yafirisike ukipiga simu customer care utaambiwa tutalifanyia kazi tatizo lako hujaulizwa hata accounti na amekata simu siku nyingine unakuta hela zimepungua nilifunga account kabisa
Jumamosi asubuhi nilihamisha hela kwa NMB Mobile toka account yangu ya benki kuja kwenye namba ya simu kwa njia ya MPesa jumla ya shilingi laki mbili. Toka hiyo Jumamosi hadi Leo Jumatatu hela yangu haijafika, nimepiga simu zaidi ya mara 60 kwenye customer service yao sijafanikiwa kuzungumza na mtoa huduma licha ya kwamba kuna wakati nimekaa hewani dakika 18 wananiimbia nyimbo Tu huku namaliza charge kwenye simu yangu.
Nilikuwa naihitaji hiyo hela Jumamosi nimekwamishwa, nimeulizia watu wengine wameniambia imeishawatokea kusubiri hadi wiki nzima ndio hela ikahama.
Wito wangu kwa BOT, haya makampuni ambayo kutoa huduma za hovyo ndio sera zao msiwape leseni ya kutoa huduma sensitive kama za mobile money, wanatutesa na kutunyanyasa wateja na hatuna mtetezi. Hapa nilipo hela haipo kwenye account na haipo kwenye simu kwa siku mbili, nini haki yangu. NMB Ni janga la kitaifa, ingawa tumejiunga kwa sababu za ukabwela wetu, tunaomba mtuthamini walau kidogo.
Upo vizuri mkuu,na mimi nimeshauriwa hivyo.Leo nipo huku mikoani nikijaribu kutoa fedha kwa M-pesa wananiambia akaunti haina fedha,kilichoniokoa niliacha kadi yangu nyumbani wakanitolea kwenye ATM. Nilipowauliza washikaji zangu town wakanishauri nikirudi niamie tigo pesa ndo ipo vizuri kwa NMB.Next time tumia Nmb mobile kutoa au kuweka kwa kutumia Tigo pesa within no seconds muamala wako utakuwa umekamilika,
ila usijali si mda itaiingia maana Mpesa hutumia saa 24 hadi 72 kukamilisha muamala wa kibenki.