Huyo kakudanganya.Wandugu Naomba kujuzwa kama je kuna Makato yoyote ukienda kutoa fedha Dirishani NMB bank?
Ndugu yangu kanambia kuna Makato ya kutoa pesa NMB,nimemtumia ndugu yangu milioni nyingi Tu sasa ndo kanipa habari kuwa kuna Makato,nauliza kwenu kuwa je kuna kitu kama hiki?
Sababu ya kuuliza nikuwa Mimi Naishi Mbali na Tanzania,
Sio NMB tu, ni bank zote. Ukichukua ndani wanakata fee kubwa zaidi kuliko kwenye ATMWandugu Naomba kujuzwa kama je kuna Makato yoyote ukienda kutoa fedha Dirishani NMB bank?
Ndugu yangu kanambia kuna Makato ya kutoa pesa NMB,nimemtumia ndugu yangu milioni nyingi Tu sasa ndo kanipa habari kuwa kuna Makato,nauliza kwenu kuwa je kuna kitu kama hiki?
Sababu ya kuuliza nikuwa Mimi Naishi Mbali na Tanzania,
Hajanambia Makato ni Kiasi gani sababu nayeye anasema hajui,Ila kipindi naondoka nyumbani hakukuwa na Makato ukitoa bank na wala ukitoa kwenye ATM hakukuwa na Makato,nilishwahi kumtumia huko nyuma kama milioni nane mara mbili hakunambia kuhusu Makato,Amekuambia makato ni bei gani.. Tuanzie hapo? Je umemuwekea nauli ya kwenda bank mkuu? Kama umetuma net lazima ajiongeze. Undugu Hauwezi kufa kwa laki moja. Tuma tu mkuu.
Cc NMB Tanzania
Wandugu Naomba kujuzwa kama je kuna Makato yoyote ukienda kutoa fedha Dirishani NMB bank?
Ndugu yangu kanambia kuna Makato ya kutoa pesa NMB,nimemtumia ndugu yangu milioni nyingi Tu sasa ndo kanipa habari kuwa kuna Makato,nauliza kwenu kuwa je kuna kitu kama hiki?
Sababu ya kuuliza nikuwa Mimi Naishi Mbali na Tanzania,
Kuna kitu anakitengeneza uyu sio bure?Umemtumia milioni nyingi tu
Nashkuru Sana mkuu for your inputs,Yes makato yapo, sio NMB tu bali bank zote. NMB wako very open kuhusu makato yao, yote yapo kwenye website yao.
https://www.nmbbank.co.tz/charges-and-fees?download=206:bank-charges-and-fees-march-2019
🤣Kuna kitu anakitengeneza uyu sio bure?