Idofu Senior Member Joined Oct 24, 2022 Posts 124 Reaction score 214 Jul 1, 2025 #1 Benki ya NMB leo Kuna nini?,mbona leo hakuna huduma kwenye matawi yenu?
bigpopa102 Member Joined May 13, 2022 Posts 16 Reaction score 22 Jul 1, 2025 #2 Idofu said: Benki ya NMB leo Kuna nini?,mbona leo hakuna huduma kwenye matawi yenu? Click to expand... hata mimi leo, nlitoka kwenye Tawi lao !! niliambiwa mtandao unasumbuaa
Idofu said: Benki ya NMB leo Kuna nini?,mbona leo hakuna huduma kwenye matawi yenu? Click to expand... hata mimi leo, nlitoka kwenye Tawi lao !! niliambiwa mtandao unasumbuaa
Mlalamikaji daily JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 997 Reaction score 2,320 Jul 1, 2025 #3 Hata NMb mobile app Pia ni majanga ... Nimefanya muamala pesa imetoka kwenye akaunti ila kwa mhusika haijafika
Hata NMb mobile app Pia ni majanga ... Nimefanya muamala pesa imetoka kwenye akaunti ila kwa mhusika haijafika
A aliekatakamba humutuu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2024 Posts 1,045 Reaction score 1,659 Jul 1, 2025 #4 tuvumilieni
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,840 Jul 1, 2025 #5 Idofu said: Benki ya NMB leo Kuna nini?,mbona leo hakuna huduma kwenye matawi yenu? Click to expand... Mwaka mpya wa fedha bank zote zimefungwa
Idofu said: Benki ya NMB leo Kuna nini?,mbona leo hakuna huduma kwenye matawi yenu? Click to expand... Mwaka mpya wa fedha bank zote zimefungwa
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,840 Jul 1, 2025 #6 Mlalamikaji daily said: Hata NMb mobile app Pia ni majanga ... Nimefanya muamala pesa imetoka kwenye akaunti ila kwa mhusika haijafika Click to expand... Tarehe 1/07 taasisi zote za fedha hufungwa ajili ya mwaka mpya wa fedha
Mlalamikaji daily said: Hata NMb mobile app Pia ni majanga ... Nimefanya muamala pesa imetoka kwenye akaunti ila kwa mhusika haijafika Click to expand... Tarehe 1/07 taasisi zote za fedha hufungwa ajili ya mwaka mpya wa fedha
Idofu Senior Member Joined Oct 24, 2022 Posts 124 Reaction score 214 Jul 1, 2025 Thread starter #7 Benjamini Netanyahu said: Mwaka mpya wa fedha bank zote zimefungwa Click to expand... Wangefunga kabisa matawi Yao basi,watu tujue Moja!!
Benjamini Netanyahu said: Mwaka mpya wa fedha bank zote zimefungwa Click to expand... Wangefunga kabisa matawi Yao basi,watu tujue Moja!!
Mlalamikaji daily JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 997 Reaction score 2,320 Jul 1, 2025 #8 Benjamini Netanyahu said: Tarehe 1/07 taasisi zote za fedha hufungwa ajili ya mwaka mpya wa fedha Click to expand... Kwani wakitoa taarifa kuna shida gani ili watu wasifanye miamala? Sio kila mtu anajua kuwa leo wanafunga
Benjamini Netanyahu said: Tarehe 1/07 taasisi zote za fedha hufungwa ajili ya mwaka mpya wa fedha Click to expand... Kwani wakitoa taarifa kuna shida gani ili watu wasifanye miamala? Sio kila mtu anajua kuwa leo wanafunga
Zimba XXV JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,785 Reaction score 4,126 Jul 1, 2025 #9 Benjamini Netanyahu said: Tarehe 1/07 taasisi zote za fedha hufungwa ajili ya mwaka mpya wa fedha Click to expand... Zinafunguliwa lini?
Benjamini Netanyahu said: Tarehe 1/07 taasisi zote za fedha hufungwa ajili ya mwaka mpya wa fedha Click to expand... Zinafunguliwa lini?
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 6,121 Reaction score 15,686 Jul 1, 2025 #10 Pesa mkononi sio
The Humble Dreamer JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 8,011 Reaction score 11,429 Jul 1, 2025 #11 Zimba XXV said: Zinafunguliwa lini? Click to expand... Mwezi wa 8 mwishoni
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,521 Jul 1, 2025 #12 USAID haipo rasmi 😁
Nsennah JF-Expert Member Joined Jan 9, 2021 Posts 2,351 Reaction score 2,056 Jul 1, 2025 #13 Zimba XXV said: Zinafunguliwa lini? Click to expand... Kesho
M mpelu6 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2021 Posts 331 Reaction score 293 Jul 1, 2025 #14 NMB wana mambo ya ajabu sana,wameahindwa k Idofu said: Benki ya NMB leo Kuna nini?,mbona leo hakuna huduma kwenye matawi yenu? Click to expand...
NMB wana mambo ya ajabu sana,wameahindwa k Idofu said: Benki ya NMB leo Kuna nini?,mbona leo hakuna huduma kwenye matawi yenu? Click to expand...