mkuu mie mwenyewe nimuangaikaji kama wewe tu, nimepigiwa Jana jioni kwenye saa kumi, interview itakua monarch pale kirumba, incase you need to know more, we ni PM tu, ila navyowajua hawa jamaa wataita wiki nzima mpaka ijumaa.