tete'a'tete JF-Expert Member Joined Feb 10, 2010 Posts 472 Reaction score 66 Apr 23, 2010 #1 Nimepata taarifa jengo la NMB House linaungua yeyote mwenye taarifa zaidi atujuze....
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Apr 23, 2010 #2 more updates pls majanga ya moto mbona yanazidi lakini?
Sumbalawinyo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2009 Posts 1,282 Reaction score 250 Apr 23, 2010 #3 Nielekezeni magunia ya pesa yalipo nikayaokoe.
Kisoda2 JF-Expert Member Joined May 30, 2008 Posts 2,475 Reaction score 747 Apr 23, 2010 #4 Kweli limeshika moto. Kwa picha zaidi pita mtaani kwa Issa Misupu.
Renegade Platinum Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,799 Reaction score 8,236 Apr 23, 2010 #5 Tuambizane jamani, vp wafanyakazi wamesevu?
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,439 Reaction score 5,329 Apr 23, 2010 #6 Sio nmb house ni Bankhouse wakubwa,moto ulishazimwa,lipo ktk ukarabati,
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 295 Apr 23, 2010 #7 mh mbona kila siku ni majanga ya moto jamani na mambo ya ndani wanatuuzia stika za fire kila siku moto awazuii wala awazimi in time why?
mh mbona kila siku ni majanga ya moto jamani na mambo ya ndani wanatuuzia stika za fire kila siku moto awazuii wala awazimi in time why?
cheusimangala JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 2,585 Reaction score 500 Apr 26, 2010 #8 Sumbalawinyo said: Nielekezeni magunia ya pesa yalipo nikayaokoe. Click to expand... heheee wewe utapanda ghorofani uyarushe kwa dirishani mie nitayadaka niyapack kwenye pick up halafu yakiisha nakusubiri twende wote tukayaweke sehemu yenye usalama!
Sumbalawinyo said: Nielekezeni magunia ya pesa yalipo nikayaokoe. Click to expand... heheee wewe utapanda ghorofani uyarushe kwa dirishani mie nitayadaka niyapack kwenye pick up halafu yakiisha nakusubiri twende wote tukayaweke sehemu yenye usalama!