Nmb Chato

geeeee

Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
8
Reaction score
1
Msaada naomba mnisaidie ni hatua gani ninaweza kuchukua kwa uongozi wa Nmb Chato kwa kuchukua taarifa zangu za bank na kumpa muajiri wangu bila ruhusa ambaye ni mtu binafsi na bila kutoka kwenye amri ya mahakama
 
Una ushahidi au ni maneno maneno tu? Inawezekana kweli benki imetoa siri/taarifa zako kwa mwajiri. Je una ushahidi ?
 
Wasiliana na wataalamu wa sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…