Unajisikia Raha sana kuoneakana Muanzisha Uzi eee??
Hujaona ule uzi mwengine wenye hizi taarifa??
Huku kukosa kwako umakini ukikuendekeza hata kwenye Intavyuu utaishia tu kuzunguka na bahasha mitaani
Nilivokuandikia vile kua kuna uzi tayar humu wenye taarifa mbalimbali juu ya hizo nafasi za NMB ukaja kukuta notification, ulijaribu kwanza kuutafuta huo uzi ukaukosa ndio ukaniuliza Mkuu?
Binafsi nimeutafuta Sana mpaka nkahc ulishafutwa that why nkaamua kuazisha u uzi Nia nipate update...may be kunaki2 nakosea kwenye kutafuta...Kama una u access pls npe direct connection mkuu