Labda niwasaidie vijana,inawezekana uliyetoa thread ukawa unawasaidia pia wengine wanaotaka kuelewa,kifupi hii ni taasisi mpya na vibali vya ajira vinatoka hazina,ila kwa kuwa wameshateuliwa wakuu wa chuo kwa maana ya Mwenyekiti wa Bodi (Prof.Mwakyusa) na Mkuu wa chuo(His execellence Dk.Bhilal) mambo mengine yatakuwa sorted soon
Patience is a key to success
Regards