mkosafedha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,330
- 277
Wadau nisaidieni ukweli huu. Gazeti la Uhuru limeandika Nwenyekiti wa NLD taifa Mh Emmanuel Makaidi amejitoa UKAWA, je kuna ukweli wa hili? Nisaidieni 😛eace:
RIP CCM 2015
=================================
Chanzo: habarileo
Hilo gazeti gani kwanza kabla sijaandika chochote?
NLD ndiyo nini? UKAWA ni Muungano wa hiari sio wa kisheria kama unayaweza peke yako si ujitoe? ametoka Slaa na Lipumba sembuse NLD.Wadau nisaidieni ukweli huu. Gazeti la Uhuru limeandika Nwenyekiti wa NLD taifa Mh Emmanuel Makaidi amejitoa UKAWA, je kuna ukweli wa hili? Nisaidieni 😛eace:
RIP CCM 2015
=================================
Chanzo: habarileo
Hilo gazeti gani kwanza kabla sijaandika chochote?
Gazeti La uhuru
Basi tena, udaku tu huo
Kwani mwandishi wa GAZETI LA UHURU si alijeruhiwa na FENI ya PANGABOY pale makao makuu ya CUF? au keshapona?
Hivi kati ya uhuru na habari leo lipi gazeti la chama?....wajuvi wa mambo mniambie....
Magazeti ya chama ni Tanzania daima, nipashe na Mtanzania.