mwanaNjilo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 277
- 197
Ha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mpe mkeo/Mpenzi wako mimba baada ya kushika mimba subiri ndani ya miezi miwili tena mpe mimba nyingine kwahiyo ukijumlisha na ile anakuwa nazo mbili. Hapo unakuwa umepata mapacha safi.
we jamaa ni bwana slow slow nn [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mpe mkeo/Mpenzi wako mimba baada ya kushika mimba subiri ndani ya miezi miwili tena mpe mimba nyingine kwahiyo ukijumlisha na ile anakuwa nazo mbili. Hapo unakuwa umepata mapacha safi.
😂😂😂😂😂Mpe mkeo/Mpenzi wako mimba baada ya kushika mimba subiri ndani ya miezi miwili tena mpe mimba nyingine kwahiyo ukijumlisha na ile anakuwa nazo mbili. Hapo unakuwa umepata mapacha safi.
Una pacha wako??...hii ni kwajil ya wenye uzao wa mapacha tuMpe mkeo/Mpenzi wako mimba baada ya kushika mimba subiri ndani ya miezi miwili tena mpe mimba nyingine kwahiyo ukijumlisha na ile anakuwa nazo mbili. Hapo unakuwa umepata mapacha safi.
Mtu wa kwanza kupata mapacha alikuwa na Pacha wake?Una pacha wako??...hii ni kwajil ya wenye uzao wa mapacha tu
We jamaa jiwe unafujoMpe mkeo/Mpenzi wako mimba baada ya kushika mimba subiri ndani ya miezi miwili tena mpe mimba nyingine kwahiyo ukijumlisha na ile anakuwa nazo mbili. Hapo unakuwa umepata mapacha safi.
Hahaaa comments zako mkuu [emoji3] [emoji3]Mpe mkeo/Mpenzi wako mimba baada ya kushika mimba subiri ndani ya miezi miwili tena mpe mimba nyingine kwahiyo ukijumlisha na ile anakuwa nazo mbili. Hapo unakuwa umepata mapacha safi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpe mkeo/Mpenzi wako mimba baada ya kushika mimba subiri ndani ya miezi miwili tena mpe mimba nyingine kwahiyo ukijumlisha na ile anakuwa nazo mbili. Hapo unakuwa umepata mapacha safi.
Hili wazo peleka kwa wasukuma na wapemba ndio jamii zinazotaka kuzaliana kwa idadi kubwaWazima humu??
Mi cyo mtaalam wa uzaz. Lakn nshawah kuskia kwmba...kuna uwezekano mkubw wa kupata watoto mapacha km mmoja au wote kati ya two parties zilizoshirik kutungisha mimba atakua/watakua wametoka kwny familia zenye uzao wa mapacha!
Km hii ni kwel, bhasi naomba wale wote ambao wana uzao huu (km mlizaliwa mapacha) tukutane hapa ili tuendeleze uzao huu maridhawakwny nch yetu ya Tanzania!
Wassalaam!
Hili swal ni la kibaiolojia au la kimila?!Mtu wa kwanza kupata mapacha alikuwa na Pacha wake?
Nan na nan ndugu yng?!Jf kuna watu was ajabu sana yani
Wazo lko limepokelewa!Hili wazo peleka kwa wasukuma na wapemba ndio jamii zinazotaka kuzaliana kwa idadi kubwa
Lijibu vyovyote unavyo maana lazima tena nitakupiga swali.Hili swal ni la kibaiolojia au la kimila?!
Kibaiolojia: cyo lazima kue na uzao wa mapacha kwny damu yenu...kw7bu hata maabara wanaweza kukufanyia fekeche ukapata!Lijibu vyovyote unavyo maana lazima tena nitakupiga swali.
Kibaiolojia umesema sio lazima uwe kwenye uzao wa mapacha mwisho unasema haitokei kibahati.Kibaiolojia: cyo lazima kue na uzao wa mapacha kwny damu yenu...kw7bu hata maabara wanaweza kukufanyia fekeche ukapata!
Kujibu swal lko exactly...sijafanya research, so I've no right to speak! BUT, km ukiruhusu maoni yng na nlichoambiwa na wadau wa mambo yauzaz, ni kwmb: pacha haiji kibahati, it's genetically natural!!
Reading is fundamental! Soma tna nlichoandka. Afu njo utengeneze hojaKibaiolojia umesema sio lazima uwe kwenye uzao wa mapacha mwisho unasema haitokei kibahati.
Unajua hueleweki?