Kuwasaidia ili kuwa si kumuondoa saddam madarakani bali kumsaidia kubadili baadhi ya mambo ..... aya ya sasa yasingetokea wasisahau libya pia wao ndio wamepachafua wakapasafishe
Obama hawezi kumsaidia kwani yeye ndie aliewatuma wale jamaa,ndo maana wamesema hawatoi msaada mpaka waziri mkuu aachie ngazi.
Biashara.
Export kubwa ya USA ni vita.
Biashara.
Export kubwa ya USA ni vita.
kwa akili yako sijui kweli, tafakari kwa nini nimetaja Arusha(hope you are great thinker)Arusha hakuna hii kitu mzee,
Alafu arusha sio nchi.
Biashara.
Export kubwa ya USA ni vita.