Njoo unikiss... Njoo unipedendaaaa...

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
Asubuhi ya leo, nikiwa nimejilaza kitandani mchovu wa kuamka kiasi flani sitamani hata kwenda church, nausikia wimbo wa Mb-dog (Latifa) ukichezwa ktk station moja hv ya Radio... Napata picha (imaginations) na feelings za beibe Mydarl a.k.a Gf wangu. Tatizo linakuja yupo mbali, Mkoa wa mbali ya hapa nilipo, kweli natamani anikiss ikiwezekana anipe denda kabisa but kwa situation ilivyo nahis ntaambulia patupu. Kwa situation km hii inakuaje hapo? I mean hilo kiss & denda nipotezee or kuna strategiez za ziada? Kwa wale waliopo/waliopitia situation km hii niliyopo nategemea experiences zenu. Lets discuss kwa pamoja!
 
pole,long distance is killing u......hahahahaaaa
 
umeweza kuvumilia muda wote huo, iweje wimbo wa Mb Dog ukupagawishe hadi utake kwenda kuzini nje?
No wimbo ni km catalyst tu mkubwa, ishu hapo ni umbali+hisia nilizonazo sasa=?? (tufanyaje/nitumie strategies zipi?)
 
Mmmhhh pole GaguFantasize tu kwa sasa ....Hali ikiwa mbaya sana ED Iko hapo karibu yako (mto)Mmmmhhhhh
 
hahahahaaa! mapenzi ya distance mateso aisee then yanaitaji maisha fulani ya upako teh!
 
jiweke tu bize itakuwezesha kuzoea hiyo situation ila usaliti sio ishu yaweza kukuta usiyoyategemea
 
Back
Top Bottom