Njoo ujiunge na uwakala wa mobistock

Njoo ujiunge na uwakala wa mobistock

rojonti

Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
26
Reaction score
6
Follow this link to join my WhatsApp group: Mobistock Agents

Mobistock ni huduma inayokuwezesha kufanya huduma kwa wateja kama vile Kuuza Vocha za Mitandao yote
Mfano Vocha za Tigo, Vodacom, Airtel, Halotel, Smart, TTCL, Zantel
Pia Vifurushi vya Tigo Dakika na Data au Internet.
Huduma zingine kama vile LUKU,Huduma za TV au Ving'amuzi mfano Stertimes, Azam, DSTV,
*FAIDA*
1.Vocha na vifurushi 4%-5%
2.AZAM 1%
3.STARTIME 10%
4.DSTV 2%
5.SMILE 1%
*JINSI YA KUWA WAKALA*
Ukitaka kujiunga na huduma yetu ya Mobistock
Tuma namba ya simu
Jina lako
Mahali ulipo
Unatakiwa kuwa na mtaji usiopungua 15000
Kuuza Piga
Piga *150 *33#ok
 
Back
Top Bottom