Freight Clearing and Forwarding Services

kiongozi tufafanulie kidogo hiyo laki mbili kivp?maana kuna siku niliona gari flasn used japan bei ilikuwa kama $500 nilipoeasiliana na kampuni moja hivi inayofanya hayo mambo wakaniambia total ya gharama ni m 8.naomba ufafanuzi zaidi.
Mfano labda kwa gari ulioiulizia ingawa siijui but ki mfano mfano tu yaweza kama ifuatavyo,
Bei ya kununulia kule= Bei uliyopewa = FOB= $500
Ukaguzi/Inspection = $300
Usafiri/Freight = $800
Bima/Insurance = $80
TOTAL/CIF = $1,650.

Kama watuma kupitia benki labda utachajiwa $50 sending fees, inakua $1,700. Ukizidisha kwa rate yetu labda kununua dola utanunua kwa 2,330 utapata kama 4,000,000/- hivi estimate.

Likifika hapa bongo,
Kodi + Usajili = 5,000,000/
Wakala (Mleta mada) = 200,000 - 300,000/,
Kuna Wharfage, DO Charges hapo, tuseme jumla hata 9,500,000/- yaweza kufika.

Huu ni mfano tu jins inavyokua, ila uhalisia wa gharama itategemea na vitu mbalimbali kama vile
1) Aina ya Gari
2) Mwaka wa Matengenezo
3) Ukubwa wa Injini
4) Rate ya kununulia Dola siku hiyo
5) Makato ya Benki kwenye kutuma hela nje
6) Gharama za wakala. Wengine wanachaji mpaka 400,000. Pia hapa kua makini chochote atakachokuanbia amelipa ujiridhishe nacho. Mwengine anakuambia fees yake ni ndogo kumbe kwengine amekubambikia gharama kibao feki kufidia.
 
Ahsante kwa ufafanuzi wenye weredi katika industry ya clearing & forwarding na international trade. Uzuri mkuu teknolojia ya mifumo ya ulipaji imeondoa ubambikaji wa gharama kwa wateja. Kwa miaka ya hivi karibuni gharama za ushuru, bandari, wharfage, Delivery Order(DO) fee mteja analipa mwenyewe directly bank au kupitia kwa mawakala wao.Ukubwa wa agency fee inakua pale mteja anapotaka alipiliwe gharama zote na ana-refund pale mnapokabidhiana mzigo.
 
Poa mkuu,
Gharama zako za 200,000/- realy ni affordable. Kiwango cha chini nilichowahi kulipa Agent ilikua 250,000/- baada ya kubembelezana sana. Ushuru ulipanda more than expected and beyond my budget ikabidi nimshushe.
 
Uzi makini huu. zachaja , soon next month nitahitaji huduma zenu. Maelezo na ufafanuzi wako unaonesha mko serious na kazi, na sio wababaishaji.

Kuna mambo naomba ushauri wako PM.
 
S.A Link Traders Ltd ni kampuni iliyo na leseni ya TRA, kutoa mizigo bandarini, viwanja vya ndege na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Karibuni mtuletee kazi za kugomboa (clear) mizigo ( magari, containers & loose cargo) tunazifanya kwa ufanisi, uaminifu mkubwa na kwa bei nafuu.

Ada zetu za uwakala ( agency fee) ni kama ifuatavyo;
1. Tunagomboa gari kwa tshs. 200,000 tu.
2. Container la futi 20 kwa tshs. 250,000 na futi 40 kwa shs. 300,000 tu.
3. Loose cargo ni tshs. 150,000 mpaka tshs. 300,000 inategemea na ujazo (Cubic Measurement)

Wasiliana nasi kwa anuani ifuatayo;

S.A Link Traders Ltd
Samora Avenue, Mkabala na Exim Bank Samora
Dar es Salaam- Tanzania.
Email mail: info@salink.co.tz,
Tel: +255222128447

Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp)
Web: www.salink.co.tz
Facebook page: https://web.facebook.com/sakink2017/
 
Ruaha Freight Ltd ni kampuni iliyo na leseni kutoka TRA ya kutoa mizigo bandarini, viwanja vya ndege na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Karibuni mtuletee kazi za kugomboa (clear) mizigo ( magari, containers & loose cargo) tunazifanya kwa ufanisi, uaminifu mkubwa na kwa bei nafuu.

Ada zetu za uwakala ( agency fee) ni kama ifuatavyo;
1. Tunagomboa gari kwa tshs.250,000 tu.
2. Container la futi 20 kwa tshs. 250,000 na futi 40 kwa shs.300,000 tu.
3. Loose cargo ni tshs.100,000 mpaka tshs.300,000 inategemea na ujazo (Cubic Measurement)

Wasiliana nasi kwa anuani ifuatayo;

Ruaha Freight Ltd,
Derm Plaza 11th Floor, Bagamoyo Road,
Makumbusho, Kijtonyama,
P.O.Box 62442,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: ruahafreight2017@gmail.com
Tel: +255222128447

Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp).

Karibuni Sana.
 
Back
Top Bottom