tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
Pampu naweka mimi mwenyewe mkuuHiyo.elfu 60 kwa mita dar unaweka na pump nyie wenyewe au pump naweka mwenye kisima hapo hujaweka sawa tukajua unafuu wako
Goba maeneo mengi ni kuanzia mita mia mkuu na maji inategemea na uchimbaji unaweza pata maji baridi tuNina eneo Goba ardhi ngumu kule mpaka kupata maji inahitaji mita ngapi? Je napata ya chumvi au baridi?
MitA mia mkuuKwa kawaida maeneo mengi maji hupatikana baada ya mita ngapi...?
Mkuu its better ukinitumia report ndio nitajuwa nikucharge kiasi gani maana kuna bei ya maeneo yenye miamba migumu na maeneo ambayo yapo softMkoani Tarime unachimba sh. Ngapi?
Nimeshafanya survey tayari maji yapo 105m una charge sh ngapi kwa mita?
Hapo tunaweka na pampu mkuuHiyo.elfu 60 kwa mita dar unaweka na pump nyie wenyewe au pump naweka mwenye kisima hapo hujaweka sawa tukajua unafuu wako
Mkuu mita za kisima inategemeana na maeneo kuna maeneo maji yapo karibu na maeneo mengine maji yapo mbali ili uwe na uhakika wa kujua umbali halisi wa water table yako unahitajika kufanya ground water survey sawa mkuuHiyo elfu sitini kwa mita, total kisima kinatakiwa kiwe na mita ngapi? Embu nipe total costs. Nataka nimchimbie mama mwenye nyumba kama zawadi ya kuishi vizuri naye hapa... Nataka nikisepa niache legacy... Nipe bei nzuri mdau.