Njoo nikuuzie suzuki swift

Ibang

Senior Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
121
Reaction score
25

Make: Suzuki

Model: Swift

Model Number: GH HT51S

Body Type: Station Wagon

Colour: Pearl

Class: Light Passenger vehicle (Less than 12 persons)

Year of Manufacture: 2000

Chasis No: HT51S600915

Engine No: M13A1000589

Engine Capacity: 1320

Fuel Used: Petrol

Number of Axles: 2

Axles Distance 0

Seating Capacity 5

Tare weight 920

Gross Weight 1195

Imported from Japan

Number BBU

KM zilizotembelea ni approximately 200,000

IKO KATIKA HALI NZURI SANA

KUANZIA BODY MPAKA ENGINE

BEI PIGA NAMBA
+255758441676
TUELEWANE
 
Mimi sio Mteja,
But kwenye Biashara ya Kuuza mali hapa JF, BEI + PICHA ndio muhimu zaidi ya yote.
 
Imetembea km 200,000 ama umekosea ni km 20,000? Any way, weka picha na angalau utuwekee bei ya kuanzia kabla watu hawajakupigia kwa makubaliano zaidi!
 
Kama ni manual mtafute Mishughuliko lakini 200,000 odo..duh!
 
Last edited by a moderator:
mimi nimeweka picha na bei watu wanapiga macho tu kitu kiko reasonable kbs
Mimi sio Mteja,
But kwenye Biashara ya Kuuza mali hapa JF, BEI + PICHA ndio muhimu zaidi ya yote.
 
unachoogopa kutaja bei ni nini haswa? au unamtafuta atakaeingia kichwa kichwa!!!!
 
nakubaliana na wewe mkuu, lakini matuta ya bongo km200k si mchezo, na service mpaka gari ikorofishwe ndy upeleke kwa wagonga nyundo!..kwa wenzetu ni sawa tu, lakini huku kwetu inabd uwe makini kidogo!
 
Ila sio gari zote mkuu wangu, nyingine ziko safi kbs despite ya odo kusoma big figure
 
Ila sio gari zote mkuu wangu, nyingine ziko safi kbs despite ya odo kusoma big figure

ni kweli mkuu, ukikuta imetunzwa vizuri utapenda, kuna jamaa yangu gari yake inasoma 160k lakini iko safi ndani nje, ni mtunzaji mzuri, lakini wengine ni ruthless!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…