Njoo nikupe lift kwenye gari yangu

Hahahaaaaa,kwa bongo hili sijui utakuwa unapaki polisi kila siku na ulinzi wa ffu juu
 
Labda walichome moto au waliharibu sababu hata ukiliacha wazi kuendesha hilo ataweza mwivi!!!!!!???
Akifanikiwa kuiba hata control box atauza wapi????!!!

Yaaani ni sawa na kuiba bendera ya Taifa!!!!
 
Si I chum you?
 
Nnachojiuliza hizo screen zoote unaangalia ipi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…