Wabongo bana. Kwenye interview Demetrius
anasema baba yake kafanya kazi na Tupac kwenye "Toss it up" (kati ya 1995-96 hapo). Toss it up inahusika na "No Diggity" ya Blackstreet, kwa wafuatiliaji wa Hiphop wanaelewa nini kilitokea. Sasa kama No Diggity ilitoka 88, sawa.
1988 Pac alikuwa Bay Area na kina Spice 1, muziki bado kabisa, just acting stupid and all.