Sabina, are you serious?
Tehe teheeeeeeee, ajira za Chadema
Kwa vijana wa jiji la mwanza, wasomi ambao mko kwenye safari ya kutafuta kazi njoo tufanye hii kazi!
Ni tenda ya kufanya usafi wa jiji; tenda imetangazwa na jiji (ukipita mbao za matangazo ya jiji utaona tangazo).
Sasa swala zima limekaa hivi;
mimi pale kuna jamaa nafahamiana nae, na kaniambia kuwa nitafute wenzangu tuwe 10 ili twende kama kikundi. Kikundi kitafanyiwa usajili haraka wiki ijayo, then tutatuma proposal yetu. Nimeamua niwashirikishe vijana wenzangu sababu nayajua mnayopitia.
So, kama uko seriuos na we ni fighter unayeishi Mwanza, nichek kwa e-mail: sabinamayala@hotmail.com.
Hii ni kwa wale wenye diploma au degree katika social sciences, environmental studies and other related fields,
plus your comitment!
Hapa kila siku watu wamekuwa wakipiga kelele mikataba mibovu na ufisadi; leo hii mtu anakuja na idea ya mchezo mchafu na watu wanasema good idea; kumbe watu wanapiga kelele kwa sababu hujapata hizo channel na wewe ukipata unakula kama wao. Kuna taratibu za kutangaza tenda na hata kupatikana huyo mzabuni, leo unatuambia kuna jamaa yako kakuambia utafute wenzako halafu yeye atarekebisha; kikundi hicho kitapata usajili lini hata kuwa na ofisi na kuweza kupewa hiyo tenda........??? HUU MCHEZO MCHAFU.......??? na WENGI HAPA WANADAI - GOOD IDEA...???, kweli nimeshindwa kuelewa huo ukombozi ambao kila siku watu wanapiga kelele...........?????????????
sabina tumekutumia email bona no answer kulikoniiiiiii