Founder Tz
Member
- Feb 20, 2022
- 47
- 129
Hahaahahahhhahahah...Mtoa mada itoe DODOMA HAPO...NI SAWASAWA NA KUIFANANISHA LIVERPOOL NA FARU DUME
Hahahauchafu wa dodoma utoe hapo
Wa southafrica???Katoro panakimbia hatari. Misauz kama yote na watu wanatumia hela kama wanafyatua wao.
Nilikaa pale wiki 3 pande za buserebusere.
Nimekupata mkuuMijengo ya bati za rangi, aka misauz
Umejaribu kuzunguka kwenye miji hiyo mingine pia?. Maana inawezekana umefika Katoro tu halafu unakuja hapa kukomenti.Katoro panakimbia hatari. Misauz kama yote na watu wanatumia hela kama wanafyatua wao.
Nilikaa pale wiki 3 pande za buserebusere.
Kama hujawahi kufika, nakushauri itakuwa ni busara ukinyamaza kimya.Hiyo miji mingine siifahamu ila aisee unailinganishaje Njombe na Tunduma kwenye kasi ya mzunguko wa pesa? Walau ungelinganisha na makambako