Njiani Hatuko Sawa

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,499
Reaction score
1,585
Kuendesha gari binafsi kutoka Dar kwenda Mwanza nimeshuhudia vimbwanga na vituko vingi sana na kweli Njiani hatuko sawa.yaani gari za Serikali na za jeshi hazifuati sheria kabisa.hawajali kona wala mlima wao ni kuovertake tu. Hata kwenye 50 ni mbio tu.nimekoswa kugoganga uso kwa uso na gari ya serikali iliyokuwa ina overtake roli mlimani katika barabara ya igunga kwenda Nzega.jamani chukueni tahadhari sana barabarani
 
Ndio wenye nchi yao hao Mkuu
Ukisema sema utabambikiwa kesi ya uhujumu uchumi au madawa ya kulevya uozee selo.
Kwa nchi ilipofikia labda itokee vita ndio tutaheshimiana.

Sio rais wala nani ndani ya serikali hafuati sheria ila wengine ndio tunatakiwa kufata sheria
 
Madereva wengi wa magari ya serikali ni vijana wadogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…