Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
kuhusiana na password pita hapaPASSWORD LOCK: Hii ni njia rahisi na maarufu zaidi. Ni salama na inashauriwa zaidi ingawa mmiliki anapaswa kufuata vigezo vyote vya utengenezaji wa nywila
Eye Lock ipo kwenye simu ipi?NJIA ZA KUFUNGA KIOO CHA SIMU NA USALAMA WAKE (SCREEN LOCK)
SLIDE TO UNLOCK: Hii ni njia rahisi na isiyoshauriwa kutumika. Kuweka hii ni sawa na kufunga mlango kisha unaweka jiwe dogo ili usifunguliwe
PIN CODE LOCK: Hizi ni namba zinazotumika kufunga screen ya simu yako. Ni njia kongwe zaidi ya ulinzi wa simu ambapo mmiliki anapaswa kuzikumbuka namba hizo wakati wote
PATTERN LOCK: Hii si njia kongwe bali imetokana na Maendeleo ya Teknolojia. Njia hii imekuwa ikikosolewa sana na wataalam wa #UlinziWaKidigitali. Inaelezwa ni rahisi kwa mdukuzi kukariri mchoro ama 'pattern' zako.
FINGER PRINT LOCK: Njia hii inahusisha matumizi ya alama za vidole vya mmiliki wa simu. Kila anapotaka kuitumia simu yake basi lazima aguse kwa kidole alichosajili ili simu ifunguke. Njia hii ni bora ingawa ina changamoto kadhaa. Mdukuzi anaweza kujaribu vidole vya mhusika awapo usingizini au akiwa kwenye hali ya kulewa
FACE ID LOCK: Utambulisho wa sura unatumika kufungua screen ya simu. Teknolojia hii kwa kiasi kikubwa ilianza kutumiwa na Kampuni ya Apple. Hii si maarufu na hakuna ushahidi wa wazi kuhusu udukuzi unaoweza kufanywa dhidi ya 'Face ID'
EYE LOCK: Kila mwanadamu ana jicho la tofauti na mwengine. Utofauti huu ni nyenzo inayotumika katika ulinzi wa simu. Matumizi yake si makubwa ingawa inatajwa kuwa na usalama wa juu
PASSWORD LOCK: Hii ni njia rahisi na maarufu zaidi. Ni salama na inashauriwa zaidi ingawa mmiliki anapaswa kufuata vigezo vyote vya utengenezaji wa nywila
Usinikumbushe nlipo weka kidole changu cha mwisho kwenye infinix ya jamaa yangu ikafungukaTecno hiyo feature ya face lock inakubali hata sura tatu
Hizi simu ni hatariUsinikumbushe nlipo weka kidole changu cha mwisho kwenye infinix ya jamaa yangu ikafunguka
Jamaa alikuwa na uhakika na finger print kwenye infinix hot 8 yake nikajaribu vidole kikakubali kidogo cha mwisho na simu ikawa inafunguka tu.Hizi simu ni hatari