jasyfabiano Member Dec 19, 2014 18 34 Sep 16, 2018 #1 Habari za mida wasaka tonge wenzangu, Nimekuwa natamani na mimi nimiliki biashara yangu,ila changamoto inakuwa kwenye mtaji wa kuanzishia hiyo biashara. Njia zipi labda zinaweza kunisaidia kupata mtaji?
Habari za mida wasaka tonge wenzangu, Nimekuwa natamani na mimi nimiliki biashara yangu,ila changamoto inakuwa kwenye mtaji wa kuanzishia hiyo biashara. Njia zipi labda zinaweza kunisaidia kupata mtaji?
P Political Engineer2 Senior Member Feb 23, 2018 149 117 Sep 16, 2018 #2 Unataka mtaji wa shilling ngapi?
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Dec 14, 2016 13,992 31,695 Sep 16, 2018 #4 Kwani kwa sasa unajihusisha na kazi gani?
Rasputin JF-Expert Member Mar 13, 2018 560 682 Sep 16, 2018 #5 Ngoja waje, na mimi nahitaji mtaji wa $40k
jasyfabiano Member Dec 19, 2014 18 34 Sep 16, 2018 Thread starter #7 fagix said: Uko WAP? Biashara gani unataka kufanya? Click to expand... Nipo dodoma ,nataka kuanzisha kuuza juice
fagix said: Uko WAP? Biashara gani unataka kufanya? Click to expand... Nipo dodoma ,nataka kuanzisha kuuza juice
Sokoro waito JF-Expert Member Nov 21, 2014 2,201 2,587 Sep 16, 2018 #8 Ukipata ufahamu wa kupata mtaji ni tunu kubwa ktk utafutaji wa utajiri. Kama una kipaji chochote kibadilishe kikupe pesa hatakama ni ndogo kusanya tu maana hakuna mafanikio rahisi. Vinginevyo tafuta wapiga tofali wakupe kibarua ama ujishughulishe kwa njia yoyote halali upate mtaji.
Ukipata ufahamu wa kupata mtaji ni tunu kubwa ktk utafutaji wa utajiri. Kama una kipaji chochote kibadilishe kikupe pesa hatakama ni ndogo kusanya tu maana hakuna mafanikio rahisi. Vinginevyo tafuta wapiga tofali wakupe kibarua ama ujishughulishe kwa njia yoyote halali upate mtaji.