Bonyobonyo
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 226
- 235
Shukrani Sana mkuu1Ukifika Dodoma kodi boda boda kwenda kambini Makutupora maili 13 toka town center barabara ya kwenda Kondoa boda boda ni 5000 mpaka makutupora JKT
2.Unaweza ukakodi bajaji mpaka Makutupora ni shs 10,000
3. Daladala zipo za kwenda Msalato hadi Veyula pale mpaka kambini makutupora ni maili 3. ukakodi boda shs 1000 inakufikisha hadi quatergurad.
Makutupora JKT iko njia ya kwenda Kondoa Hadi Arusha maili 13 toka Dododma mjini kibao cha kambi kipo njiani upande wa kushoto wa barabara.
Naweza kupanda basi za arusha zikanifikisha kambini mkuu au njia nzuri ni kupnda gari za iringa dodomaMakutopora iko Barabara ya kwenda arusha
Ova
Uliza bodaboda atakupelekaWakuu,
Heshma yenu
Nahtaji kufika kambini makutopora dodoma kutokea iringa kwa anaejua njia ya kufika naomba kujuzwa natanguliza shukrani
Je kama unaelekeza gaidi? Be careful1Ukifika Dodoma kodi boda boda kwenda kambini Makutupora maili 13 toka town center barabara ya kwenda Kondoa boda boda ni 5000 mpaka makutupora JKT
2.Unaweza ukakodi bajaji mpaka Makutupora ni shs 10,000
3. Daladala zipo za kwenda Msalato hadi Veyula pale mpaka kambini makutupora ni maili 3. ukakodi boda shs 1000 inakufikisha hadi quatergurad.
Makutupora JKT iko njia ya kwenda Kondoa Hadi Arusha maili 13 toka Dododma mjini kibao cha kambi kipo njiani upande wa kushoto wa barabara.
Shukrani mkuuKuokoa gharama panda gari za Arusha kupitia Kondoa mwambie konda akishushe Makutupora getini...ova
Naripot kujitolea mkuuJe kama unaelekeza gaidi? Be careful
Acha uoga hata kama ni gaidi pale hafui dafu kuna Iveco hadi za Idd Amini Dadaa! Zilitekwa na wanaume 834KJJe kama unaelekeza gaidi? Be careful