Njia rahisi ya kupunguza vibaka mitaani

Njia rahisi ya kupunguza vibaka mitaani

Njiarahisiyakupunguzavibakamitaani.jpg

NI KUACHA KUICHUKIA ISRAEL NA KUJENGA JAMII KUBWA YA WATU WENYE KAZI. UKIPATA INVESTors wengi wewe jaza kazi nyingi na wape watu wako. vibaka watatoweka. lakini ukijifanya eti wewe ni anti west au anti-semites, basi utajikuta una kundi kubwa la watu wasio na kazi na ambao ni vibaka.
 
Nyie wa kupimwa.

Ukiuliza kaiba nini? Utaambiwa kaiba kuku mmoja. Unashindwa kuwapiga watu wanaosababisha hali ngum,u ya maisha, mnakuja kuwauwa wahanga wa mafisadi
 
Nyie wa kupimwa.

Ukiuliza kaiba nini? Utaambiwa kaiba kuku mmoja. Unashindwa kuwapiga watu wanaosababisha hali ngum,u ya maisha, mnakuja kuwauwa wahanga wa mafisadi
Kweli kabisa. Tunawaonea tu. Wanaosababisha hali ngumu ya maisha kiasi cha kuzalisha vibaka wanaachwa wanapita mitaani kwa raha zao. Nchi hii haitakuja iendelee kamwe.
 
Msihukumu nanyi hamtahukumiwa.

Asie na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe.

Msipowasamehe watu makosa yao na Baba yenu wa Mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.

Tazama wanafiki nyie mamtoa mbu kwenye kinywaji ili hali mnammeza ngania.
 
acha hizo kweli israel ndo nani kama wenyewe wanamisukosuko yao huko, hawaitoi we unasema nn nend kule uon biashara ya ukahaba ilivyoshamiri ach kuongea kama ujafika hiyo nchi.
 
acha hizo kweli israel ndo nani kama wenyewe wanamisukosuko yao huko, hawaitoi we unasema nn nend kule uon biashara ya ukahaba ilivyoshamiri ach kuongea kama ujafika hiyo nchi.

Wanabarikiwa wale wanaoibariki israel, wanalaaniwa kwa laana wale wanaoilaani israel. Through Israel (the pure descendants of Abraham) all nations of the earth shall be blessed
 
tuanzeni na walioshindwa kutangaza mali na walio shindwa kujivua gamba
 
Hakuna mtu mwenye mamlaka juu ya UHAI wa mtu mwingine

Haya yote ni kwasababu nchi kama nchi haijajipanga kutatua mahitaji ya watu wake

MUNGU atusamehe na kuturehemu
 
Heri umuibie Tajiri na fisadi kwani na yeye sehemu ya mali yake ni wizi mtupu! LAKINI OLE WAKO umibie masikini na lofa, kifo itakuwa zawadi yako maana yeye utakuwa umechukua mwisho wa jasho lake!
 
Back
Top Bottom