Njia rahisi ya kumuacha mpenzi wako

Njia rahisi ya kumuacha mpenzi wako

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,383
Reaction score
7,969
Katika maisha unaweza kuwa na mtu ambaye pengine unapanga upite tu sio mtu mwenye vigezo unavyotaka au unaona hamtoenda sawa mbeleni lakini ikatokea amekuganda na we pengine yawezekana umempenda
nataka nikupe njia rahisi ya kumuacha mtu kama huyu bila wewe kuumia au yeye
Kitu cha kwanza angalia mapungufu yake ni nini tayari unayajua
mfanyie kitu au umuagize afanye ambacho yeye atoweza kufanya na hawezi yani umeshajua kabisa hawezi kubadilika pengine kila siku mmekuwa mkizozana kisa hilo sasa wewe tumia kama sababu yakutaka kuachana na yeye atakuwa tayari ameshajua yeye ndo mwenye makosa
usimcheki kwenye simu wala kutuma ujumbe pia
usifute namba yake wala kufuta sms zake ukishafuta sms kivyovyote vile utammis tu
wewe utakuwa unahisi kama bado mpo pamoja na yeye pia hivyo hivyo itafika kipindi basi utapata mwingine tayari huyu utakuwa umeshamsahau
 
Huyu jamaa nyuzi zake za kibwege kweli
Huu sio uzi wa kipuuzi huwa sikulupuki navyoleta uzi humu siku moja utapokuta na hali ya mwanamke kukuganda tumia hii njia yaku dili na mapungufu yake nakuhakikishia utamwacha bila kumuachia maumivu na yeye ndo atahisi ndo chanzo hatoendelea kukutafuta
 
Huu sio uzi wa kipuuzi huwa sikulupuki navyoleta uzi humu siku moja utapokuta na hali ya mwanamke kukuganda tumia hii njia yaku dili na mapungufu yake nakuhakikishia utamwacha bila kumuachia maumivu na yeye ndo atahisi ndo chanzo hatoendelea kukutafuta
Masuala ya kucheza na hisia za watu mtakuja kukutana na namba zingine chafu. Ukimuumiza miba lazima ikuhusu
 
Mtoa maada nakuunga mkono nitasimamia kwenye mapungufu yake, hakuna kugandana apa kwani tumezaliwa pamoja!
 
Back
Top Bottom