Hapo inategemea na ww ulimwambiaje wakati mnaanzana. Huenda ulivyomwambia ndio inakuwa sbb ya kukuganda.
Fanya kumpotezea, usipokee calls zake wala kujibu sms badae atajiongeza mwenyewe.
wengi tunahisi kumfanyia ukatili mpenzi anayekuganda kuwa ndo habari ya mjini... ila sasa akifanikiwa kukuacha tambua utamkumbuka kuliko... na kumrudisha upendo wake wa zamani itakuwa ndoto tena!!! tafakari mkuu kabla hujaamua!