Nje ya Kikwete, haitatokea tena Rais wa nchi hii akagawa neti za mbu bure kwa kila Mtanzania

Tutolee ujinga wako hapa...wenzio walitorosha madini,wanyama na kununua mahifadhi wewe ukapewa chandarua ulale fofofo!! Kalaghabaho na ujinga wako...unadhani ulipewa bure tena na maneno matamu shusha neti ulale salama! Fyuuu
Haya sasa hivi madini na wanyama hawatoroshwi,nini kimebadilika?
 
Nimetafakari, nikafikiri nimpe JK heshima zake....wiki hii nimepita maeneo ya ndani kabisa vijijini katika Tanzania, kila familia wana vitanda vilivyofungwa neti za mbu, ukiwauliza walizipataje wanasema hawatamsahau Kikwete maana hizo net waligawiwa bure enzi zake...

Wanauliza kama wataletewa zingine maana hizi sasa ni chakavu....Nimewaambia kwa aina ya Rais tuliye naye, wasahau kupatiwa tena neti mpya, bali wasubiri kuanza kufa tena kwa malaria.

Ahsante JK, Mungu akubariki kwa kujali uhai wa watu wako, lakini nawe una mapungufu yako ukatuletea jiwe...jiwe halina moyo, halisikii maumivu, halina hisia, haliwezi kuumizwa na shida wa raia maskini kama ilivyokuwa kwako...YOU CARED AND DID YOUR BEST TO SAVE THE LIVES OF TANZANIANS IN THEIR MILLIONS...now all that is being undone at a speed of a car crash!
Umesahau na condom za bure Lofa wewe mkagegedane huku hao waliowapa net bure wakizidi kuisafisha nchi.

Bado na utakumbuka mengi tu endelea kuvuta subira
 
Msamehe bure maana hakuvikuta, Enzi za warrant kwenda shule na unafungashiwa tulikuwa tunaita machopochopo halafu mabasi siku ya kufunga yanakodishwa na kuletwa shuleni, ukienda chuo kuna canteen mnakula kama vile mko Kilimanjaro Hotel, bufeli unachagua unataka kula nini, hapo ujaweka boom linakusubiri. Enzi za mwalimu. Huyu anakwambia elimu bure sijui bure anaongelea nini maana ukimtuma motto lazima umlipie nauli na vitabu vya kiada maana maktaba zilikufa zamani. Ukienda chuo hakuna cha bure hata wale waliokuwa wanapata mikopo ambayo ni ya kulipa baadae wamenyang'anywa sasa elimu bure ya kitu gani
Magufuli alikutuma ukazae?
Beba msalaba wako
 
Sasa hivi wasipotorosha unapata nini mkuu... mara nyingine ficha upumbavu wako... maisha magumu sana tym hii.. JIWE HALINA AKILI YOYOTE.. MPUUZI TU.. ANALETA USHAMBA KWENYE LIFE LA WATU.. MAIGIZO KIBAO.. KICHWANI EMPTY... HAJUI DUNIA INAENDAJE YAANI JAMAA NI WA PRE-CAMBIAN ERA HUKO...
Mambo bado

Bado 7.6 net
 
Kwanza life lilikuwa tamu sana na tulifanya maendeleo,pili tulinawili full ushavu nyuso zenye furaha,sasa huyu katufanya tuwe na stress kama yeye japo sie ni stress za ugumu wa maisha tofauti na yeye mwenye stress za chuki na roho mbaya.No wonder tunaongoza kwa kutokuwa na raga awamu hii
Unamsemea nani mbona "tu" nyingi utadhani mpo wengi

Pambana na hali yako
 
Watanzania sijui nani katuloga, yaani mtu anaona kwema kuomba msaada wa Net kwa Wamarekani ni achievement! tulitakiwa tutawaliwe tena
Kutawaliwa na wenye akili ni kuliko kutawaliwa na wapumbavu na washamba.
 
Mpaka leo vyandarua vinatolewa bure.

1. Wakati ya clinic ya kwanza ya mama mjamzito (Vituo vya serikali)

2. Wakati mtoto anapoenda kupata chanjo ya BCG akiwa na miezi tisa. (Vituo vya serikali)

3. Kuna neti pia zinatolewa kwenye shule za serikali za primary.

Angalizo: Mtu anapewa neti anaenda kufugia kuku, huyo mfadhili harudi tena.
 
Sasa hivi wasipotorosha unapata nini mkuu... mara nyingine ficha upumbavu wako... maisha magumu sana tym hii.. JIWE HALINA AKILI YOYOTE.. MPUUZI TU.. ANALETA USHAMBA KWENYE LIFE LA WATU.. MAIGIZO KIBAO.. KICHWANI EMPTY... HAJUI DUNIA INAENDAJE YAANI JAMAA NI WA PRE-CAMBIAN ERA HUKO...
Acha kupanic pambania maisha yako,mambo magumu yes lakini usilielie hats we ulivyoonaga raha kuna wenzio waliteseka. Actually matokeo ya ugumu wasasa ni maendeleo ya hapo baadae wakati tutakuwa na umeme was kutosha,treni za uhakika,barabara za kupitika,huduma za afya bora,elimu iliyoboreka,viwanda kila mkoa nk. Kuna wajiinga kama wewe wanatamani wapewe mahela wanywe pombe toka asubuhi kulikoni mambo yanayofanyika sasa. Endelea kufichua upumbavu wako. Siungi mkono vyote lkn kuna mambo yamaana yanatokea
 
Nimetafakari, nikafikiri nimpe JK heshima zake....wiki hii nimepita maeneo ya ndani kabisa vijijini katika Tanzania, kila familia wana vitanda vilivyofungwa neti za mbu, ukiwauliza walizipataje wanasema hawatamsahau Kikwete maana hizo net waligawiwa bure enzi zake...

Wanauliza kama wataletewa zingine maana hizi sasa ni chakavu....Nimewaambia kwa aina ya Rais tuliye naye, wasahau kupatiwa tena neti mpya, bali wasubiri kuanza kufa tena kwa malaria.

Ahsante JK, Mungu akubariki kwa kujali uhai wa watu wako, lakini nawe una mapungufu yako ukatuletea jiwe...jiwe halina moyo, halisikii maumivu, halina hisia, haliwezi kuumizwa na shida wa raia maskini kama ilivyokuwa kwako...YOU CARED AND DID YOUR BEST TO SAVE THE LIVES OF TANZANIANS IN THEIR MILLIONS...now all that is being undone at a speed of a car crash!
ujinga mzigo.Net zile ni mradi wa Serikali ya Marekani tena ni mradi maalumu wa majaribio wakaangalia tukajaribie waswahili!!!!
 
Usiwe mvivu wa kufikiri, Elimu bure ya JK Nyerere miaka ya 60 kwa wanafunzi wasiofikia laki mbili tofautisha na miaka 2015 na kuendelea wanafunzi zaidi ya milioni thelasini wote kwa viwango tofauti tofauti wawe madarasani.
Miaka hiyo wasomi ni akina Kambona.
Elimu bure ilikua kwa nyerere , hii haina ubishi
 
Nimetafakari, nikafikiri nimpe JK heshima zake....wiki hii nimepita maeneo ya ndani kabisa vijijini katika Tanzania, kila familia wana vitanda vilivyofungwa neti za mbu, ukiwauliza walizipataje wanasema hawatamsahau Kikwete maana hizo net waligawiwa bure enzi zake...

Wanauliza kama wataletewa zingine maana hizi sasa ni chakavu....Nimewaambia kwa aina ya Rais tuliye naye, wasahau kupatiwa tena neti mpya, bali wasubiri kuanza kufa tena kwa malaria.

Ahsante JK, Mungu akubariki kwa kujali uhai wa watu wako, lakini nawe una mapungufu yako ukatuletea jiwe...jiwe halina moyo, halisikii maumivu, halina hisia, haliwezi kuumizwa na shida wa raia maskini kama ilivyokuwa kwako...YOU CARED AND DID YOUR BEST TO SAVE THE LIVES OF TANZANIANS IN THEIR MILLIONS...now all that is being undone at a speed of a car crash!
Neti ??? Tuwe serious jamani .
 
Neti,dah,yaani unamsifia kwa ajili ya neti!Siielewi logic ya Watanzania.Kwanza ungejua kilichoko kwenye hizo neti usingezisifia,kweli usichokijua ni usiku wa giza.
 
Halafu bado kuna mtu hajui kwanini kuna watu wanaendelea kuipugia kura ccm hadi leo?
 
Back
Top Bottom