Nje ndani mkoa wa Shinyanga

Nje ndani mkoa wa Shinyanga

Abramovic

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
324
Reaction score
610
Wadau ni matumaini yangu hamjambo na mna afya njema.
Tafadhari naomba kuelezwa nje ndani kuhusu mkoa wa Shinyanga hasa mjini, tabia za watu wa kule na mazingira ya kuishi kwa ujumla. Pia bila kusahau gharama za maisha za kule na usalama wa raia na mali zao.
Natarajia kwenda huko hivi karibuni kuna project binafsi naenda kufanya.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Ungeuliza tabia za wasukuma ....
 
Nakupongeza pia ila nishakaa huo mkoa takriban miaka 6

Watu huko wakarimu sana
Vyakula bei rahis sana
Kama mdau wa totozi Kuna sehemu inaitwa bakurutu hapo wanapatikana kwa wingi sana

Kuna club butiama,level 4 Kuna

Kuna mitaa
Ngokolo
Majengo mapya
Lubaga
Bushushu
Kitangiri
Mwasele
Bugweto
Ibnzamata

Na Maeneo mengne kama mpnz wa rosti ya kichwa cha mbuzi bas kongoro mitumbani

Nyama ya mbuzi ya kutosha ibnzamata huko Kuna mahakama ya mbuzi

Upande wa ofisi za serikali central polisi inaangaliana na uhamiaji mkoa na mahakama ya wiliya na mkoa na vyote vinapakana kuanzia ofisi za mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,RPC ,OCD mahakama zote ziko sehemu moja unatembea kwa miguu tu

Usafiri wa kule asilimia kubwa baiskel Phoenix na pikipiki

Stand ziko mbili ibnzamta na mjini nauli za baiskel range ya 200- 700

Kama unalingne hapo nimekupa mwanga wote wa shy mjini hapo ningekupa na vijijin lakin utajua huko huko tu.
 
Kama wewe ni mzee halafu una macho ya msimbazi nakushauri usiende
 
Kwa usafiri wa baiskeli inabidi nika talii
 
Asante sana mkuu, hivi ndio nilikua nataka.

Wadau wengine naomba tuendelee kufunguka mengine aliyoyasahau mkuu hapa
 
Back
Top Bottom