Njaa ni mchochezi kuliko Mwanasiasa

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
Huku mtaani watu wameanza kupoteza matumaini, wanaongea chini chini, eti hivi jamaa ana nini? Sikuhizi hawashangilii tena utumbuaji majipu sababu wameshazoea. Ila jiulize je wanaweza kuizoea njaa. Achana na bwana mamvi na washkaji zake wale wapo kazini kama wewe brother .

Wale ni whistle blowers tu, Sio wachochezi... Mchochezi NJAA.
Ikiuma unatakaba, Utaiba na ikiwezekana utaua.

Sasa kama upo fresh brother tuanze kumsaka mchochezi NJAA, tumkamate tumsweke sero milele.

Brother dogs are hungry, if we don't feed them, they will eat our food.

[HASHTAG]#njaahaimpendezimtukamasuti[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom