Bishanga niko Didis masaki, nikigeuka kushoto oh bishanga kam zis wei,nikigeuka kulia jamani bishanga long time no see,nikigeuka nyuma darling bishanga naomba ela nikatoe mimba yako,mbele yangu namwona Kongosho kala kungu mtotonwa kike kalegea......ushauri tafazali naondokaje eneo la tukio mtoto wa kiume mie?
Cc: Mtambuzi
Hii miambrale ya mia5mia5? Mingi imeungwaungwa kwa kopawaya! "leo hajambo kanywa uji nusu kikombe!"
Huyaskiagi hayo maneno?
Ni ushauri tu! Usio na tozo ndanimwe!
Hii miambrale ya mia5mia5? Mingi imeungwaungwa kwa kopawaya! "leo hajambo kanywa uji nusu kikombe!"
Huyaskiagi hayo maneno?
Ni ushauri tu! Usio na tozo ndanimwe!