Nikupe pongezi haswa kumpenda bar maid,naye ni mwanamke ana haki ya kupendwa!!Haya turudi,kinachokuummiza kichwa ni yeye kuwa na mtoto!Sasa unaogopa mtoto atashika dudu isiingie au??Kama kweli unampenda mtoto sio tatizo,ila jaribu kukaa naye chini umweleze umekwazika sana kwa yeye kuficha jambo kama ilo na asirudie tena!Pili nakushauri umshauri aache ulevi uliopindukia haipendezi...