Niuzie Rav4 Old Model

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
11,406
Reaction score
21,795
Wakuu, natafuta gari tajwa hapo juu, masharti yangu ni machache Tu,

1. Gari iwe katika hali nzuri.

2.Iwe namba C au D kabisa.

3. Iwe ya milango 5

4. Iwe Dar au mikoa ya karibu na Dar.

Bajeti yangu ni 8mil.

Kwa mawasiliano njoo PM. Kuweka namba JF sikuhizi ni risk Sana.
 
Kaka pnda kidogo au unataka hata milangi 3
Noo, Ni milango 5.. Nilisahau kuweka! Niambie gari unayo? Kama ipo ktk hali nzurii tunaweza kuyajenga zaidi hapo kwenye bei.
 
Kila la kheri mkuu.

Mimi nasubiri Noah yangu hapa kutoka Serikali tukufu ya Makinikia
Na Mimi nilishaandaa order yangu kabisa, hivi nani anakusanya order Mkuu.
 
Ongeza iwe 10 nikuuzie mashine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…