Niuzie Pump ya Kupandisha maji katika Kisima

Niuzie Pump ya Kupandisha maji katika Kisima

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
23,126
Reaction score
40,129
Habari wakuu!!!
Nahitaji Pump used ambayo ipo katika hali nzuri kwa ajili ya matumizi yangu ya kisima hapa Nyumbani.
Bei maelewano, kama unayo ni-PM.
 
Habari wakuu!!!
Nahitaji Pump used ambayo ipo ktk hali nzuri kwlla ajili ya matumizi yangu ya kisima hapa Nyumbani.
Bei maelewano, kama unayo ni-PM.
Horse power ngapi unaitaji?
 
fanya hivyo maana kesho hiyo hiyo kuna mtu amenambia anaweza akaniletea Pump.
 
Sijui ni kwa nini unataka kununua pump ya maji ambayo ni used wakati pump mpya nzuri na za bei rahisi zimejaa hapo Kariakoo? Kwa nini ununue kitu ambacho huna uhakika na uimara wake? Nakushauri nenda kanunue pump mpya.

Tiba
 
Ahsante Mkuu Tiba, pump mpya ni kiasi gani?
 
Ahsante Mkuu Tiba, pump mpya ni kiasi gani?

Pump mpya za maji kulingana na ukubwa wa pump ni kati ya Tshs. 75, 000 mpaka 150, 000. Kuna moja nilinunua miaka 3 iliyopita kwa 150, 000 na ninaitumia angalau mara mbili kwa wiki kupandisha maji kutoka kwenye kisima kwa saa 1 kila nikiiwasha, bado inafanya kazi vizuri mpaka leo na haijawahi kuleta ukorofi wa aina yoyote. Ile kariakoo ya gerezani, ziko nyingi mno.

Ahsante sana Mkuu nimekuelewa, ngoja kesho nikafanye utaratibu.
 
Mkuu nielekeze Gerezani sehemu gani?
 
Nikuuzie pump km bado hujafika huko gerezani hizo pump zengine majanga za gerezani. Weka namba nikupigie or call 0715800888
 
Wakuu, nimeshapata Pump aina ya Doyin.
Nimenunua kwa mtu lakini bado ikionekana ni mpya kwa 170,000.
Pump ni ya kudumbukiza ndani ya maji kisha inasukuma maji.
Ni pump nzuri sana na inasukuma maji kwa kiwango kikubwa.
Ahsanteni sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom