We ondoka tu maana unanikatisha tamaauna 650 000 ?????
400kUna bei gani??
?We ondoka tu maana unanikatisha tamaa
Kuna mijitu ni migumu kuelewa500k
MIMI NINAYO NYEUSI HP COMPAQ PRESARIO NOTEBOOK, 370000 TU. NI NYEMBAMBA KAWAIDA SIYO SANA. BETRI INAKAA MASAA 4 NJOO PM TUFANYE BISHARA.Nahitaji laptop iwe nyembamba sana, used au mpya halimradi isiwe na bei kubwa sana. Internal storage 500gb. Sitaki MacBook jaman mm mkulima, nitafute hapa 0789095484. Rangi nyeupe, nyekundu, zambarau, kijivu, blue vyote sawa tu.., ikae na chaji na isiwe na tatizo. Lete tufanye business fasta yani
Nitumie picha kwa hyo namba mzeeMIMI NINAYO NYEUSI HP COMPAQ PRESARIO NOTEBOOK, 370000 TU. NI NYEMBAMBA KAWAIDA SIYO SANA. BETRI INAKAA MASAA 4 NJOO PM TUFANYE BISHARA.
NGOJA NIKUTUMIE KWENYE PM MKUUNitumie picha kwa hyo namba mzee