Niuzie kitanda na godoro

Habari wakuu,Nahitaji kitanda na godoro,6kwa 5,nina nipo dsm

kwa hela iyo naona masihara mjomba. Lakini kama unahitaji vitu used vinapatikana kwa wingi pale ubungo darajani. Nenda ujaribu bahati yako.
 
Godoro na kitanda kwa 90, 000??!! Tena 5x6!!??....mkuu unataka kitanda cha mabanzi au!!?
 
Habari wakuu,Nahitaji kitanda na godoro,6kwa 5,nina nipo dsm

Andaa laki tatu na ishirini fedha za kitanzania (320,000 TZS) mkuu vinginevyo ni ngumu.
Ukipata hiyo pesa njoo pm nikupe hivyo vitu haraka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…