Triple A JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 766 Reaction score 148 Jan 16, 2016 #1 natafuta fiat 682 yenye terius,mwenye nayo au kufaham anayeuza anijulishe
Triple A JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 766 Reaction score 148 Jan 16, 2016 Thread starter #2 jaman mbona kimya
Triple A JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 766 Reaction score 148 Jan 16, 2016 Thread starter #3 madalali wamekimbia kazi....
Triple A JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 766 Reaction score 148 Jan 16, 2016 Thread starter #4 vp bandugu hakuna anayeifaham fiat humu hizo gari hazipo tena kwenye ulimwengu huu
Triple A JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 766 Reaction score 148 Jan 16, 2016 Thread starter #5 vp bandugu hakuna anayeifaham fiat humu hizo gari au hazipo tena kwenye ulimwengu huu
neba Senior Member Joined Nov 19, 2008 Posts 173 Reaction score 139 Jan 23, 2016 #6 Fiat 683 N3,zipo zinatumika.Tatizo wenye kuzimiliki hawauzi
Mbulu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 5,619 Reaction score 5,519 Jan 23, 2016 #7 siks eite tu,MBAULA
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,382 Reaction score 13,194 Jan 23, 2016 #8 Weka picha tuifahamu
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,734 Jan 23, 2016 #10 Hata mimi naitafuta...
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,382 Reaction score 13,194 Jan 23, 2016 #11 Duh Kumbe hizo nenda Somalia mkuu zipo nyingi ni kununua na kufufua tu nadhani mpya nadhani ni no more... kiwanda kilishaziliplace na IVECO Truck... why you need this old Truck wakati there is no Country for Oldman
Duh Kumbe hizo nenda Somalia mkuu zipo nyingi ni kununua na kufufua tu nadhani mpya nadhani ni no more... kiwanda kilishaziliplace na IVECO Truck... why you need this old Truck wakati there is no Country for Oldman
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,376 Reaction score 3,976 Jan 23, 2016 #12 Njoo arusha kwa wabeba magogo ya mbao wanazo watakuuzia
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,382 Reaction score 13,194 May 25, 2020 #13 Nitafute ninayo nilishaipata mkongwe ufe uiache
Triple A JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 766 Reaction score 148 May 25, 2020 Thread starter #14 Mlaleo said: Nitafute ninayo nilishaipata mkongwe ufe uiache Click to expand... Wapi huko mkuu
Triple A JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 766 Reaction score 148 May 25, 2020 Thread starter #15 Triple A said: Wapi huko mkuu Click to expand... Mimi nipo arusha wewe uko wapi