Hata mbovu sawa? Kwa hiyo yenye hizo specs duh utasuburi sana ila unaeza pata
Sitaku kufahamu mimi sio professional photographer ila nafahamu camera yenye chini ya hizo specs ni ya zamani sana...afu mbona umepoteza muda kujibu kitu kisichoendana na post? Au nawe nu great thinkerUzuri wa camera sio megapixel. Je unajua nini kuhusu camera? Je unajua nini kuhusu kupiga picha

Have a chill.Sitaku kufahamu mimi sio professional photographer ila nafahamu camera yenye chini ya hizo specs ni ya zamani sana...afu mbona umepoteza muda kujibu kitu kisichoendana na post? Au nawe nu great thinker![]()
Upo liwale kweli? Hata mm nipo liwale mkuuNiko liwale ninaye mp 16 ongeza kidogo nikutumie
Yap mi niko liwale mkuu,we uko liwale eneo gani? kwa bibi gende,mikunya,mwanzo wa rami,hangai au?Upo liwale kweli? Hata mm nipo liwale mkuu
Yenye more than 12 mega pixels natoa elufu 80 za kitanzania ..... nipm tafadhali. Dsm tu.