Niuzie adroid phone yoyote

170k HTC iyo nichek 0719210905 bado mpyaaaa kbx yan
 

Attachments

  • 1404936620124.jpg
    50.5 KB · Views: 167
Nna galaxy s3 ipo kwenye hali nzuri haina tatizo laki 380 ukihitaji nipe namba nikutumie kwa watsapp
 
Hii hapa kama umependa nicheki....ni mpya kbsa ktk box. But 250,000
 

Attachments

  • 1405023632888.jpg
    79.4 KB · Views: 135
  • 1405023649706.jpg
    67.2 KB · Views: 107
  • 1405023687763.jpg
    77.8 KB · Views: 103
  • 1405023711271.jpg
    89.9 KB · Views: 103
kuna samsung galaxy s4 mini...white ni original ..inataka 320k
 
UWAAMBIE KAMA NI CLONE/COPY HIZO SIO WAINGIE KICHWAKICHWA.. warudi wanafungua thread za kulalamika humu

hiyo ni point ya msingi sana, nami nilitaka kumuuliza kama ni clone.
 
nina sony xperia sp comes with box and og charger ncheki kwenye whatsapp nkutumie picha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…