Niulize chochote kuhusu java na xml

Nilijua HKL mtajipitisha hapa, kuomba maji ya kunywa..!
Still there in my throat?? Soma kichwa cha habari,kasema aulizwe chochote kuhusu java. Haya get out of my shoes..
 
Jibu kimalkia hicho hicho
 
Thank you..
 
Mimi nimesha kula kozi ya bb code sasa naamia kwenye java
 
mi sio mwingi sanaaaa ! lakini niulize chochote kuhusu lugha hizi uone kama niko vizuri au hapana


zingatia:

HAPA TUNAZUNGUMZIA JAVA NA XML(EXTENDED MARKUP LANGUAGE)

SIO

JAVASCRIPT NA HTML
Je ni kwanini java haisapoti multiple inheritance bila interfaces?

Ni mazingira gani unatakiwa kutumia abstract classes na methods?
 
1. Ukilinganisha na apps za C++ kwa nini Java sio rafiki unapotaka kutumia Pluggable architecture

2. Unapokuwa na multiple programs zilizotengenezwa kwa different incompatible JREs unafanyaje ili zote zifanye kazi?

Anz Kupasha na hayo kwanza...!
 
Kwa kifupi kama unamiliki smartphone inayotumia android jua java imetumika kutengeneza applications unazo download play store!
sio asilimia zote kua kila application iliyopo kwenye play store au inayoinstalliwa kwenye android imetengenezwa na Java programming lang.
 
sio asilimia zote kua kila application iliyopo kwenye play store au inayoinstalliwa kwenye android imetengenezwa na Java programming lang.
Nilitegemea hii comment...

Najua kuna c++, c#, javascript, and now we have kotlin ila mwisho wa siku java is the dominant one!
 
Je ni kwanini java haisapoti multiple inheritance bila interfaces?

Ni mazingira gani unatakiwa kutumia abstract classes na methods?
Haisupport multiple inhertence mpaka uwepo wa interface kwasababu class inakuwa na uwezo wa kuinhert interface nyingi zikiwa na methods zinazofanana/kwa lugha nzuri ni kwamba interface zinakuwa na methods ambazo uwa public/abstract .kwa maana hii method ndani ya interface haiwezi kujifanyia tu implementation pekeyake so tunaitaji interface kwa ajili ya multiple inhertence.


pia naitaji abstract classes ninapotaka kufanya classes zinazoendana zichukuriane code na pia abstract method wakati nataka subclasses ziimplement kila method kwa namna yake.


AU VIPI MKUU
 
Ni editor IPI... Ambayo ni nzuri kwakufanya java


Nakushauri tumia ide(integrated development environment ) hii ina source code editor, debuggers, compiler, interpreter, build automation

Mfano wa IDE ni eclipse au netbeans n.k.


Sio Editor maana hazina feature kama IDE mfano wa editor ni notepad++,bracket,komodo n.k
 

Class ina inherit interface?

pia naitaji abstract classes ninapotaka kufanya classes zinazoendana zichukuriane code na pia abstract method wakati nataka subclasses ziimplement kila method kwa namna yake.

Kwenye abstract classes tuna kitu kinaitwa implementation?
 
L

Nimesema mi si
mwingi sana labda unisaidie kwenye hayo makosa
Kiuhalisia huwezi uka inherit au uka extend interface kwa kutumia class!

Class ina implement interface, class can not extend/inherit interface!

Cheki hii code

Code:
interface persons{
    void name();
    void surname();
}
interface activities{
    void nameOfActivities();
}
class Group implements persons,activities{
    @Override
    public void name() {
        System.out.println("My name is ABC");
    }

    @Override
    public void surname() {
        System.out.println("my surname is XYZ");
    }

    @Override
    public void nameOfActivities() {
        System.out.println("My activities are ....");
    }
}

Ukisema nitoe implement alafu nitumie inheritance ya class na interface utapata error maana hakuna inheritance kati ya class na interface bali kuna inheritance ya class na class au interface na interface!!

Likewise kwenye abstract haiwezi kuimplement abstract class, ina inherit au ina extend abstract class!!

At the end of the day you can not instantiate abstract class but you can instantiate concrete class!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…