kwanini java, hutumika mala nyingi zaidi kutengeneza enterprise application ?
Nitajie udhaifu wa java katika security...
kwanza nianze na kwanini inatumika kwenye enterprise application.
sababu Ya msingi ni kama ifuatayo,
1.platform independence.
Hii ina maanisha kwamba java inaweza run kwenye OS zote bila kikwazo.
Lakini kumbuka kuwa tunapoandika java source code tunatumia human readable language yaani highlevel language kwa hapa ni java yenyewe.Ili ifanyekazi/run kwenye mashine yoyote hapa sio tu laptop yako au desktop yako lazima kuwepo na kitu tunaita compiler.
Compiler huitafsiri sourcecode hiyo ikiwa katika mfumo wake yaani highlevel language kwenda kuwa machine language ambayo ueleweka na hiyo machine yako sasa hapa tunaziita executable code na sio sourcecode tena, yaani ni mtiririko mzima wa maelekezo ya programu ambao utafanywa na cpu yako na kitendo ufanyika.
ZINGATIA:
kwa hiyo java bi very suitable kwenye kuandika enterprise application kwa sababu hizi application zina run kwenye os zote kwa msaada wa kitu tunaita java virtual machine/JVM ambayo kila OS/platform huwa na yake mfano window os/platform zina JVM yake na linux,na mac os n.k zina JVM zao hizi JVM Zinasaidia kurun hiyo application ukiringanisha na application/program iliyo andikwa kwa c/c++ hii ni platform dependent kwenye window ina zalisha program yenye jina na extension exe mfano name.exe ambayo uwezi run kwenye os zingine kama nilizokutajia hapo juu mpaka uiandikie huko kwenye OS/platform uipendayo.
kwa hiyo developer uangalia lugha ambayo ni very supportive mkuu
HIYO NI SABABU YA MSINGI ILA ZIPO NYINGI.
kuhusu security
Mara nyingi unapoona application/system inapoingiwa Vulnerabilities/madhaifu,madhaifu yanatokana na uandikwaji wake wa kizembe ambao hawa wanajiita hacker kama wewe wanaweza inject code yenye maelekezo tofauti kwenye hiyo system hatimaye inaanza kuperforn tofauti hii mnaita code injection.
Na hii uwa ni moja ya udhaifu wa java applications ndio maana naweza sema kama unaandroid au feature phone ambayo inasupport java huwa ina kitu tunaita trusted na untrusted certificate inayo mpa user option mfano kama una apk file kwenye simu yako ukijaribu install inakuambia unainstall kutoka kwenye unauthorized source hii ni njia inayoweza tumiwa kuaribu mfumo wa java kuna kitu inaitwa sandbox hii uzuia application uliyo download kutoka external site/untrasted site isiperform nje ya mipaka iliyowekewa.
UDHAIFU MWINGI UPO HAPA KWAMBA JAVA APP URUHUSU HIYO KITU NILIYO ZUNGUMZA KWA HIYO MWENYE MADHARA NI YULE ALIYERUHUSU UNTRUSTED SITE MARANYINGI.
kama nimejibu tofauti au sikuelewa uliza tena ambapo ujanielewa mkuu au sio maana nilisema mimi si mwingi sanaaaa hapa