Nitumie mbinu gani?

Nitumie mbinu gani?

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Hi Jf,
Ni mbinu gani rahisi itaniwezesha kupata ajira kwa haraka?
Nina advanced diploma in computer science,na sasa namaliza postgraduate diploma in finance n banking. Nimetokea kuipenda sana fani za finance na banking,how do i secure one,which way works best?
Karibuni.
 
Hongera sana kwa kusoma masters ya Finance japo imekuwa common sana. Nilikuwa napitia conditions za Utumishi ni kwamba course yako ya degree ya kwanza ndio inayoangaliwa na kupewa kipaumbele zaidi ya ile ya pili. So fanya maombi ya kazi kwa kutumia computer science uliyoipata. Masters itakuwa na advantage kama kutakuwa na waombaji wachache wa Post za Finance.
 
Pamoja sana mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom