Uwuhangala
Member
- Nov 8, 2016
- 15
- 4
Mimi ni mvulana kuna rafiki Yangu wa kiume naheshimiana nae sana.Amekuwa na mahusiano na Dada mmoja ambae namfahamu nipo nae Jirani sana wamekuwa wakigegedana kwa mda mrefu.Najua mvulana huyu hana mpango wa kuoa lakini huyu anaomba ushauri kwangu juu tabia ya mvulana huyu nikimweleza naogopa kuwagombanisha kwani washakuwa wapenzi pia nitafanya mahusiano kazini yasiwe mazuri.....wadau nichukue hatua gani?