pole mwaya
Mke na Mume mwema hutoka kwa Mungu hivyo kuwa mtu wa maombi utampata aliyewako
vilevile usipende kulinganisha watu , wanadamu wameumbwa kwa utoffauti sana huwezi kumpata yule atakayefikia yule mchumba wako wa awali itakuwa ngumu sana vinginevyo utavamia na viwewe bure kuwa mtu wa rohoni utampata tu
Acha kufananisha vigezo ni ngumu sana kupata unachotaka
pole sana usiwe na haraka ya kutafuta mbadala tulia jipe muda atakuja mwenyewe kwa muda muafaka

Pole Sana Mkuu! Naona umeshikilia msimamo wa kuwa ni lazima utafute ndio apatikane. Kabla ya hapo ulisha-date mtu mwingine?? Ni dhahiri bado uko kwenye majonzi yanayokupelekea uamini kuwa yeye ndio kipimo cha mchumba/mke mwema. Kila binadamu ni unique...hakuna wa kufanana na mwingine. Jipe muda na uache kuchambua kila unayekutana nae. Just go out and have fun and the rest will unfold at the right time.Asante kwa ushauri ila hawezi kuja mwenyewe bila kumtafuta.
Huwezi kupata kama yeye. Utatafuta hadi uzee wako. Wala wa kuendana nae hayupo. My principle is that there shall always be 1 Mother Theresa ; 1 Malcom X ; 1 Nelson Mandela etc. One can only be the best that he/she can be! Maisha yako ni lazima yaendelee na yataendelea kama utaacha kutafuta replacement ya huyo mchumba wako. Muombee apumzike kwa Amani ili na wewe uendelee na maisha yakoSiwezi kupata kama yeye haswa ila bora hata waendane hata kidogo.
Ndugu zangu.Nasikitika kwamba nilimpoteza mchumba wangu mwaka jana katika ajali ya gari,
Niliumia sana,nilifadhaika sana,nilihisi watu wote kwangu ni wabaya,
lakini cha kusikitisha ni kwamba nimejaliwa kuwa na mahitaji yote ya kibinadamu lakini tangu nianze kutafuta mchumba january mpaka leo sijapata wa mwenye vigezo hata nusu kama wa awali,kwakweli ni swala ambalo limekuwa gumu kwangu,
Naombeni ushauri wandugu.

nicheja me me nlfanana nae marehemu.......sema sasa na hyo mimba aliyokuwa chia na we we umepoteza vgezo vyangu...........
Hivi umesoma hiyo habari ukaielewa mkuu, ebu angalia kwenye red, kweli huyo ni kaka?Pole kakangu Mungu aendelee kukufariji lakini epuka kufanya ulinganisho tumeumbwa tofauti!
Ndugu zangu.Nasikitika kwamba nilimpoteza mchumba wangu mwaka jana katika ajali ya gari,
Niliumia sana,nilifadhaika sana,nilihisi watu wote kwangu ni wabaya,
lakini cha kusikitisha ni kwamba nimejaliwa kuwa na mahitaji yote ya kibinadamu lakini tangu nianze kutafuta mchumba january mpaka leo sijapata wa mwenye vigezo hata nusu kama wa awali,kwakweli ni swala ambalo limekuwa gumu kwangu,
Naombeni ushauri wandugu.
Whatever mkuu awe dada awe kaka Mungu aendelee kumfariji!Hivi umesoma hiyo habari ukaielewa mkuu, ebu angalia kwenye red, kweli huyo ni kaka?