Njia ambayo unaweza kutumia hiyo router na modem, lazima uwe na pc ambayo itakuwa kama server utatumia ethernet cable kutoka kwenye LAN port ya pc kwenda kwenye router alafu modem uta-install kawaida then tumia connectify ku-share internet access ya modem over LAN hapa itafanya kazi, hii njia nimeshaijaribu na ipo njema.
View attachment 193348