Habari wana JF.
Nilikua naombwa kufahamishwa nawezaje kujua specifications za simu katika kuikagua simu husika bila kuamua kuisearch ktk net au kuangalia box lake.
Mara nyingi naenda katik settings halafu about phone.. hapo utaona android version na other parameters lakini huwezi kujua mp za camera au ram..au ukienda storage utaona capacity ya storage ya simu.