Nitawezaje kuitambua simu original ya Samsung ?

Nitawezaje kuitambua simu original ya Samsung ?

jaribu hz
*#0*# chagua option ya sensor alaf sogeza kiganja chako itabadilika rangi kuwa ya kijani na kuvibrate wakat huo huo
nyngne jaribu kudownload cpu z ktk cm yako alaf linganisha specfication zake
nyngne connect na pc alaf chek detail za cm yako
NB.. ktk kukonect na pc unatakiwa uwe na software ya samsung kies kwny cm yako km haipo download halaf i2mie kusoma dtail za cm yako km itafail kusoma firmware restart vyote (pc na cm ) mara mbil au3 ikigoma possibly ni fake hyo
 
hapohapo ktk sensor nenda kwenye image test utaona picha ya mbwa.clone wameshindwa kabisa kuweka picha hii.
 
Back
Top Bottom