Nitawezaje Kuficha app kwenye simu ?

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,337
Reaction score
16,794
Wakuu,

Nauliza kama kuna uwezo wa kudownload app kwenye simu halafu ukaificha mtu mwingine akichukua simu asiweze kuiona!mfano umedowload viber lakini mtu mwingine akichukua simu hawezi kuiona !
 
Uwezekano upo kutegemeana na simu yako, mi kwenye sumsung galaxy gt 18730, ipo hiyo option.
 
ingia kwenye app store ya simu yako zipo app za kuficha picha, video, apps, music pia zipo za kulock apps kwa password
 
Kuna njia mbili.

1.Ingia Google Play download Apps, Free, Kama: Vault, Video Locker, Hide it Pro, Vaulty, App Vault etc

2. Huitaji App, utundu tu: usiwe mvivu soma hapa:

 
kuwa mtundu jaribu kusearch ukishindwa then uliza..mi naona wakuu wamekujibu sawa
 
Suluhu iko hapa Pakuwa Go launcher inahizo makitu mkuu ila uwe mtundu kidogo.
Wadau wamekupa maelekezo ya ku hide files na ku lock app.
 
ingia kwenye app store ya simu yako zipo app za kuficha picha, video, apps, music pia zipo za kulock apps kwa password
kiongozi nimetajie japo apps kadhaa zinazoweza kufanya hiyo kazi
 
Kuna njia mbili.

1.Ingia Google Play download Apps, Free, Kama: Vault, Video Locker, Hide it Pro, Vaulty, App Vault etc

2. Huitaji App, utundu tu: usiwe mvivu soma hapa:

nimejaribu option ya kutengeneza folder lakini naona haifichi kwani zinaonekana tu au nakosea wapi maana ninaweza . jina la file basi
 
Unatumia simu gani
Kuna baadhi ya simu kama Samsung karibu zote ipo option hiyo bila kuinstall chochote
 
Unatumia simu gani
Kuna baadhi ya simu kama Samsung karibu zote ipo option hiyo bila kuinstall chochote
natumia nokia Lumia 1020 na samsung galaxy trend[h=1][/h]
 
mkuu umefanikiwa......?
nimefanikiwa ila kwa kiwango ambacho sijaridhika nacho!app niliyo download inalock apps kwamba kila ukitaka kuitumia unaweka password...sikutaka hivyo,nilitaka iweze kuficha app isionekane kabisa kwenye simu!
 
Mtoa mada anahitaji App ya ku hide App (kufanya icon ya App ipotee ktk screen) sio ku lock App.
kweli kabisa mkuu hilo hasa ndo hitaji langu kwenye nokia lumia 1020,any solution?!
 
Mkuu mm nilikwambua hivi dawnload Go launcher hicho kipengele kipo.
 
nimefanikiwa ila kwa kiwango ambacho sijaridhika nacho!app niliyo download inalock apps kwamba kila ukitaka kuitumia unaweka password...sikutaka hivyo,nilitaka iweze kuficha app isionekane kabisa kwenye simu!

kwa smsn nenda apps......option..(button ya kushoto kwako) utaona HIDE APP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…